Breaking News

ALIYEPOKEA FEDHA MIL 1.3 KIMAKOSA KWA M-PESA ASHTAKIWA KWA WIZI

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Kenya: Mwanaume huyo alipokea malipo ya Shilingi za Kitanzania 1,300,000/= kwa M-pesa kutoka kwa Mwanamke mmoja ambaye ni mfanyabiashara.
Stanley Irungu baada ya kupokea fedha hizo alitoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 1,300,000/= huku akijua sio zake.
Stanley Irungu alipokea Tsh. 1,300,000 kutoka kwa Mfanyabiashara huyo na kutoa Tsh. 864,000 na kiasi kilichobaki kilirudishwa na Safaricom.
Milicent Atieno mfanyabiashara aliyekosea kutuma fedha hizo aliwasiliana na Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom waliorudisha kiasi cha Shilingi 465,000/= kilichobaki.
Stanley hakuwa akipokea simu hata alipokuwa akipigiwa ili arudishe muamala huo. Mahakama ilimuachia kwa dhamana baada ya kutimiza masharti.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.