Breaking News

HAKIKISHA UME UPDATE APP YAKO KUENDELEA KUPATA HABARI KWA WAKATI


Uongozi wa NIJUZE HABARI unapenda kuwafahamisha wapenzi wake wote wa Nijuze Habari kuwa tumefanya maboresho madogo katika App yetu.

App hii tumeiweka katika muonekano bora kabisa pia tumeongeza baadhi ya huduma ambazo hazikuwepo kwenye App hii kutokana na maoni ya wasomaji wetu pia tumeifanya App hii kuwa nyepesi zaidi katika kusoma habari zetu zote.

Kwanza kabisa App hii bora inakusogezea habari za Maisha, Mapenzi na Mahusiano, Braking News, Michezo na Usajili, Videos, Elimu ya Maisha, Ajira, Tamthilia, Afya, Makala na Kutazama Mechi Mubashara pamoja na Burudani kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali ndani na nje ya Tanzania.

BOFYA HAPA KU UPDATE APP YAKO PENDWA.

Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Michezo, Magazeti, Mahusiano, Elimu, Ajira, Video, Audios, Tamthilia na Udaku.