BERNARDO SILVA APIGA HAT TRICK MAN CITY IKICHABANGA WATFORD BAO 8-0
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kiungo Mreno Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 15, 48 na 60 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad.
Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya kwanza, Sergio Aguero kwa penalti dakika ya saba, Riyad Mahrez dakika ya 12, Nicolas Otamendi dakika ya 18 na Kelvin De Bruyne dakika ya 85 .
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.