CHAMA, GADIEL WAPIGWA CHINI SIMBA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
MSAFARA wa wachezaji 22 wa Simba upo Mkoni Kagera kwaajili ya mchezo wa Ligi dhidi ya Kagera Sugar lakini kiungo Mzambia, Clatous Chama na beki Gadiel Michael wenyewe hawakuwa sehemu ya msafara huo.
Chama na Gadiel ni sehemu ya wachezaji ambao wamepigwa chini katika safari hiyo na kubakia Dar kutokana na kutokuwa fiti. Mchezaji mwingine aliyeachwa ni Nahodha John Raphael Bocco.
Kocha mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa wamelazimika kuwaacha wachezaji hao kutokana na kutokuwa sawa kufuatia kuwa na shida zao binafsi.
“Baada ya mazoezi ya leo (jana) katika safari yetu wameongezeka watu ambao hawataenda Kagera. Mwanzoni alikuwa Bocco tu ila sasa Chama na Gadiel nao hawataenda.
“Watabaki Dar kwa sababu wana matatizo, kwa hiyo ndiyo maana tumewaacha hapa na hawatakuwa na timu katika mchezo huo na Kagera.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.