KAGERE KUIWAHI KAGERA SUGAR
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Mshambuliaji kinara wa mabao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Meddie Kagere jana alishiriki mazoezi ya Gym ya kikosi cha Simba yakiwa ni maandalizi ya kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar.
Inaelezwa katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kagere alijitonesha majeraha aliyopata akiwa na timu ya Taifa ya Rwanda.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alisema baada ya uchunguzi walibaini kuwa majeraha yake hayakuwa makubwa hivyo walimpa mapumziko ili aweze kupona.
Kuelekea mchezo huo utakaopigwa Alhamisi ya September 26 Simba inawakosa baadhi ya nyota wake ambao ni majeruhi kama John Bocco ambaye bado yuko nje akiendelea na matibabu wakati Deo Kanda anaendelea na program maalum.
Hata hivyo kurejea kwa Wilker Da Silva ni habari njema kwa kikosi cha mabingwa hao watetezi.
Mchezo dhidi ya Kagera Sugar una umuhimu wa kipekee kwa Simba kuibuka na ushindi hasa ikizingatiwa msimu uliopita Kagera Sugar ilishinda mechi zote mbili dhidi ya Simba.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.