KASEJA AWAITA MASHABIKI TAIFA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Mlinda mlango wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Kaseja Juma amesema kuwa watapambana kesho Jumapili mbele ya Sudan kupata matokeo chanya kwa manufaa ya Taifa zima.
Stars itamenyana na Sudan kesho Jumapili katika uwanja wa Taif, ukiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya michuano ya CHAN ambayo inawahusisha wachezaji wanaocheza ligi ya ndani mwaka 2020 nchini Cameroon.
Kaseja amesema :"Tunapambana kwa ajili ya Taifa na kila mchezaji anatambua jukumu lake ni kutafuta matokeo ndani ya uwanja na kwa sasa kila mmoja anahitaji kupata matokeo chanya hivyo mashabiki watupe sapoti," amesema.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.