KAULI YA KASEJA KABLA YA TANZANIA KUIVAA SUDAN
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
LEO Jumapili ya Septemba 22,2019 ndiyo siku ambayo itaanza kutoa picha kwa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani, kama wataweza kusonga mbele na kucheza fainali za CHAN 2020 kwa mara ya pili toka wafanye hivyo mara ya kwanza 2009? au bado wanahitaji muda wa kuendelea kujifua zaidi kabla ya kufuzu.
Taifa Stars watashuka dimbani leo kuivaa Sudan na mara ya mwisho 2009 Tanzania walifuzu kwa kuitoa timu hiyo hiyo, historia itajirudia au vipi? kuelekea mchezo huo leo nahodha wa kikosi hicho Juma Kaseja ameongea na waandishi wa habari.
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
LEO Jumapili ya Septemba 22,2019 ndiyo siku ambayo itaanza kutoa picha kwa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani, kama wataweza kusonga mbele na kucheza fainali za CHAN 2020 kwa mara ya pili toka wafanye hivyo mara ya kwanza 2009? au bado wanahitaji muda wa kuendelea kujifua zaidi kabla ya kufuzu.
“Kama alivyosema kocha hali ni nzuri kiafya kwa wachezaji tumejiandaa vizuri kwa sababu, kama ilivyokuwa michezo mitatu nyuma na anataka hii timu iende hatua inayofuata, kwa hiyo mimi naamini kwamba mazoezi ambayo tumefanya, marekebisha ambayo tumefanya mchezo wa kesho tutapata matokeo”>>>Juma KasejaZaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.