Breaking News

MABADILIKO YA RATIBA MECHI YA YANGA VS MBEYA CITY


Mchezo namba 17 wa Ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga ambao ulipangwa kupigwa September 18 mwaka huu umeahirishwa.

Mchezo huo umeahirishwa kuipa nafasi klabu ya Yanga kujiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi ya ZESCO United.
Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Michezo, Magazeti, Mahusiano, Elimu, Ajira, Video, Audios, Tamthilia na Udaku.