MESSI AMEIBUKA MSHINDI WA FIFA 2019
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA jana lilihitimisha kilele cha utoaji wa tuzo za FIFA The Best 2019 kwa kutangaza wachezaji mbalimbali waliofanikiwa kushinda.
Tuzo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ni tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa kiume ambapo ilikuwa ikiwaniwa na Virgil van Dijk wa Liverpool, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa FC Barcelona.
Ronaldo hakutokea katika sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika Italia na Lionel Messi kuibuka mshindi kwa mwaka 2019 na kuwashinda Ronaldo na Van Dijk, hii ndio mara ya kwanza kwa Messi kushinda tuzo hiyo toka mfumo mpya uanzishwe.
Jurgen Klopp wa Liverpool akiibuka kocha bora wa mwaka, Megan Rapinoe raia wa Marekani akiibuka mchezaji bora wa mwaka wa kike.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.