MKWASA ARUDISHWA YANGA KIVINGINE
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa ameteuliwa kuwa Katibu wa Kamati ya Ufundi iliyoteuliwa jana na Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla.
Kamati hiyo iliyosheheni watu wa mpira, itakuwa ikifanya kazi kwa ukaribu na benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha Mwinyi Zahera.
Mkwasa alijiuzulu nafasi ya ukatibu Mkuu wa Yanga baada ya kupata maradhi ya moyo yaliyomlazimu kwenda India kutibiwa.
Sasa amerejeshwa tena katika Klabu hiyo akikabidhiwa majukumu ambayo pengine atakuwa na mchango zaidi kwa kuwa ni taaluma yake.
Kamati hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti Salim Rupia na Makamu Mwenyekiti Dominick Albinus, imejumuisha wajumbe kama Kenny Mwaisabula ambaye pia ni kocha.
Pia wamo Said Maulid, Ally Mayay, Sekilojo Chambua, Sunday Manara na Abeid Mziba ambao waliwahi kutamba wakiwa wachezaji wa Kkabu hiyo.
Wengine ni Dk Jonas Tiboroha, Ally Msingwa na Kanali Mstaafu Iddi Kipingu.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.