Breaking News

MSAFARA WA MASHABIKI WA YANGA KWENDA ZAMBIA SIKU HII

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake kuchangamkia fursa ya kusafiri na timu nchini Zambia kuiunga mkono kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa September 28 nchini humo na msafara wa mashabiki utaondoka September 25 na kurejea nchini Tanzania September 30 mwaka huu.
"Unangoja nini? Wananchi tayari wanachangamkia tiketi zao kuelekea Ndola kujenga historia mpya. Soma maelezo hapo juu kisha wasaliana na wahusika... Safari kuanza tarehe 25/09/2019 kurudi tarehe 30/09/2019."

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.