Breaking News

OLE GUNNAR SOLSKJAER ASHIKA NAFASI YA PILI KWA MAKOCHA WATAKAO TIMULIWA PREMIER LEAGUE

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Meneja wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ametabiriwa kuwa kocha wa pili atakaye fukuzwa kazi katika ligi kuu nchini Uingereza.
Image result for Solskjaer in bad moment
Ole Gunnar Solskjaer anashika nafasi ya pili katika makocha ambao huwenda wakaachishwa kazi msimu huu hii ni kwa mujibu wa kampuni ya kubashiri ya Ladbrokes ya nchini Uingereza.
 Marco Silva is currently leading the Sack Race and is 6-4 to go next, followed by Ole Gunnar Solskjaer
Kwa sasa anayeongoza katika chati hiyo ya Makocha wanaotarajiwa huwenda wa katimuliwa kazi muda wowote Mreno, Marco Silva ambaye anaifundisha klabu ya Everton akiwa na kadirio (Odds) la 6/4.
‘The Toffees’ mpaka sasa imeshapoteza mechi tatu kati ya michezo sita (6) ligi kuu Uingereza ambayo timu hiyo imecheza ikiwa chini ya kocha wake Marco Silva. Ikipokea kipigo cha mabao 2 – 0 dhidi ya Aston Villa, 3-1 mbele ya  Bournemouth na 2- 0 nyumbani dhidi ya Sheffield United siku ya Jumamosi.
Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United akiwa na (Odds), 6/1 na hivyo kufanya kushika nafasi ya pili kati ya makocha ambao wametabiriwa watafukuzwa kazi msimu huu.
But next on the list is 6-1 bet Solskjaer after United’s dismal display at West Ham.
Manchester United, imejikuta ikipokea kipigo cha mabao 2 – 0 dhidi ya West Ham na kipigo cha 2 – 1 wakiwa nyumbani mbele ya Crystal Place huku vijana wa  Solskjaer  wakitoka sare mbili mbele ya Southampton na Wolves na kushinda mechi mbili pekee.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.