Breaking News

PICHA: RC MAKONDA ASIMAMIA USIKU KUCHA UJENZI WA MACHINJIO YA KISASA VINGUNGUTI

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda akifuatilia ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti jana usiku baada ya kutembelea na kusimamia ujenzi huo usiku kucha.Agizo hiulo lilitolewa na Mh.Rais Magufuli baada ya kutembelea machinjio hayo hivi karibuni.

Baadhi ya Nguzo zilizosukuwa na Nondo takribani 64 kwaajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es Salaam ambapo ujenzi huo unakadiliwa kumalizika ndani ya miezi mitatu kwa maelezo ya Mkuu wa Mkoa huo Mh. Paul Makonda baada ya kutembelea na kusimamia ujenzi huo hapo jana usiku.

Baadhi ya Nondo Takribani 64 ambazo zitatumika katika ujenzi unaoendelea wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda akikagua zege lililomiminwa katika nondo kwaajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es Salaam baada ya kutembelea na kusimamia ujenzi huo jana usiku.

Baadhi ya Mabomba ambayo yatatumika katika ujenzi wa machinji ya kisasa unaoendelea mpaka sasa Vingunguti Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Paul Makonda akitazama na kufuatilia ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti yanayoendelea baada ya kutembelea ujenzi huo na kusimamia hasa kutokana na ujenzi huo kusuasua.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.