Breaking News

REKODI NYINGINE YA CARDI B NA BODAK YELLOW

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

BODAK YELLOW ambayo ilikuwa ladha ya kwanza kutokea kwenye albamu yake ya kwanza ya  Invasion Of Privacy, imetengeneza rekodi nyingine ya mwanamuziki huyo ambaye tangu kupata nafasi amekuwa akivunja rekodi tofauti kwenye muziki pamoja na mafanikio mengi yasiyokuwa na kikomo.

Wimbo huo uliotolewa mwaka 2017 , Umekuwa Platinum Certified mara tisa, namba inayomfanya Cardi B kuwa MwanaHip-hop wa kike ambaye amepata madaraja mengi ya mauzo ya wimbo mmoja.

Bodak Yellow pia ilimpa CardiB jina la heshima mara baada ya kuingia nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard Hot 100.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.