RONALDO AMCHINJIA BAHARINI MESSI
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kila mwaka kunakuwa na tuzo kwa ajili ya kutoa motisha kwa wachezaji wanaofanya vizuri duniani hasa kwenye soka na kila mwaka hutolewa tuzo za Ballon d or, FIFA Best Player of the year na UEFA best player of the year.

Katika tuzo hizi wachezaji wawili tu ndio wanaoongoza kuzitwaa karibia miaka 15 wako kwenye ushindano hapa ni Muargentina Lionel Messi anayechezea Barcelona ya Uhispani na Mreno Cristiano Ronaldo anayechezea Juventus kutoka Italia, katika tuzo za Balln d or Ronaldo ameshinda mara 5 huku Messi pia akishinda mara 5 huku katika tuzo za FIFA Mess akishinda mara 6 na Ronaldo mara 5, na katika tuzo za UEFA Best palyer Ronaldo akishinda mara 3 na Messi akishinda mara 2.

Ikumbukwe hapo jana siku tarehe 23/9/2019 kulikuwa na usiku wa tuzo ambapo zilifanyika mjini Milan kwa wadau na wapenzi wa mchezo wa soka ulimwenguni waliweza kushuhudia baadhi ya watu wakifanikiwa kuondoka na tuzo huku macho na masikio ya walio wengi yalikuwa yakiangazia kwa nafasi ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA 2019 kipengele ambacho kinawakutanisha mahasimu wawili na wanasoka bora na vipenzi wa mashabiki Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ukiachia mbali Virgil van Dijk akiwemo kwenye kipengele hicho.

Katika tuzo hizo alifanikiwa kushinda Lionel Messi na kufanya kushinda kwa mara ya 6 baada ya kuwashinda Ronaldo na Van Dijk, kitu ambacho kimewashangaza wengi ni kitendo cha Messi kumpigia kura Ronaldo kwa mara ya pili huku Ronaldo ikiwa hajawahi kumpigia Messi kura na stori hizo zinaenda mbali zaidi kwani katika usiku wa tuzo za mchezaji bora wa UEFA Ronaldo alifunguka kwamba yeye na Messi ni watu ambao wamesaidiana katika mchuano wao wa kushinda tuzo mbalimbali lakini baada ya Messi kuhojiwa alidai kwamba yeye na Ronaldo hawana urafiki wowote bali wanakutanaga uwanjani tu.

Kitu ambacho watu wanaeleza kama Ronaldo a,namchekea Messi kinafiki kwani hajawahi kupigia kura bali Messi ndio anaongoza kwa kumpigia Ronaldo kura. Takwimu zinzonyesha hivi:-

Je Unahisi Ronaldo anachofanya ni sawa na je kwa upande wa Messi unahisi anajipendekeza kwa Ronaldo…?
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.