Breaking News

SHUHUDIA MELI YA MIZIGO ILIVYOPINDUKA BAHARINI, MOTO WAKWAMISHA UOKOAJI – VIDEO

Imethibitishwa kuwa
Imekua masaa 24 tangu meli hii ya kubeba mizigo yenye urefu wa futi 656 ilipinduke huko St. Simons, kando ya pwani la Georgia nchini Marekani, Ikielezwa hadi hivi sasa bado umelala upande mmoja ikiwa umbali wa maili 80 kusini mwa mji wa Savannah.
Wafanyikazi wanne wa shirika la Golden Ray bado hawajulikani walipo Wote ni raia wa Korea Kusini na wamethibitishwa kuwa walikuwa kwenye chumba cha injini ya meli, kulingana na Wizara ya Mambo ya nje ya Korea Kusini.
Lakini juhudi za uokoaji zimesimama baada ya kuelezwa kuwa moto ulijaribu kuwaka kwenye chombo hicho na kuhatarisha usalama wa waokoaji.
Video Player
00:00
00:44
Viongozi walisema kuwa zaidi ya wafanyakazi ishirini tayari wameokolewa na maafisa wanasubiri meli itulie kabla ya kujaribu jaribio lingine la kuokoa. huku ikielezwa kuwa Bado wanajaribu kufuatilia kiundani hasa ni nini kilisababisha Meli hiyo ipinduke.
Chanzo CNN.

Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Michezo, Magazeti, Mahusiano, Elimu, Ajira, Video, Audios, Tamthilia na Udaku.