TWITTER YAFUNGA AKAUNTI ZINAZOENEZA TAARIFA ZA UONGO
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter imesema kuwa imefunga maelfu ya akaunti za watumiaji ambazo zimehusika kusambaza taarifa za uongo na propaganda za kiserikali.
Akaunti zilizofungiwa ni za watumiaji kutoka nchi mbalimbali duniani, zikiwemo Umoja wa Falme za Kiarabu, China na Uhispania.
Twitter imesema akaunti kutoka China ambazo zilijikita katika kuweka uchonganishi miongoni mwa waandamanaji kisiwani Hong Kong, na nyingine kutoka Misri zilizopigia debe ujumbe wa Saudi Arabia kuelekezwa Yemen na Qatar, ni baadhi ya zilizofungiwa.
Akaunti za Twitter za habari potofu zimefungwa nchini Uhispania na Ecuador. Akaunti za Twitter zilizofutwa nchini China ni zaidi ya 4,300.
Twitter imezichukua hatua hizo katika juhudi za kuwahamasisha watumiaji, wakiwemo wale wa mamlaka za kiserikali juu ya matumizi sahihi ya jukwaa lake.
Kampuni nyingine ya mitandao ya kijamii, Facebook ilichukua hatua kama hizo mwezi uliopita, ikizilenga hasa akaunti kutoka Misri, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.