WANAWAKE WABADILISHANA WAUME ILI KUPATA JAMBO HILI
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Katika hali isiyotarajiwa Wanawake wawili kutoka kaunti ya Busia magharibi mwa Kenya wamewaacha watu midomo wazi baada ya kubadilishana Waume zao wa ndoa kabisa kwa lengo la kutafuta furaha kutokana na ugomvi usioisha kwenye familia zao.
Lilian Weta mwenye umri wa miaka 28 Mama wa Watoto watatu na Immaculate Auma mwenye umri wa miaka 29 mwenye Watoto wawili wameandikishana Serikalini namna Watoto wao watakavyolindwa baada ya uamuzi wao wa kubadilishana Waume zao.
Lilian amesema Mumewe alimleta Immaculate nyumbani akimdanganya ni Binamu yake lakini baadae Mwanamke huyo alimwambia amuachie nafasi lasivyo atamchoma kisu.
“Alinifukuza nyumbani ninapoishi na Mume wangu akaniambia nikamtafute Mume wake yeye niolewe nae na kweli nimemtafuta Mume wa Immaculeta na tumefunga ndoa wiki ya tatu sasa, kwakweli nina furaha sana”-Lilian
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.