Breaking News

YAFAHAMU MAMBO AMBAYO YANAWAKERA WANAWAKE WALIOPO KATIKA MAHUSIANO YA NDOA

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Yafutayo ndiyo mambo ambayo wanawake huwa wanakereka sana wanapofanyiwa na wanaume zao katika suala la mahusiano, Japo wanaume wengi huwa  hawawazi kama wanayofanya huenda wakawa wanawakosea wake zao.
Ila wanaume ambao wanasoma makala haya pindi utakaposoma  makala hii unatakiwa kubadilika mara moja ili usiwe unamkwaza mkeo kwa makusudi.
Yafuatayo ndiyo mambo wanawake wengi huwa yanawakera wawapo katika mahusiano:
1. Mwanaume mwenye madaraka kuyapeleka madaraka hayo mpaka  nyumbani kwake.
2. Wake kuwajibika na mambo ya nyumbani kwa vile wana mishahara minono.
3. Wababa kutotenga muda wa kutosha kukaa na wake zao ili kuongea yanayowahusu
4. Mume kumwachia mke kulea watoto hasa wakati wa usiku
5. Mume kutomtia moyo mke wakati wa ujauzito
6. Mume kumchanganya mama na watoto wa kike wanapokosa
7. Mume kutokuwa na maandalizi mazuri wakati wa kukutana kimwili na mkeo
8. Mume kujijari mwenyeweMume kusaidia ndugu zake bila mke wake kujua
9. Mume kubagua watoto
10. Mume kuwa na upendo na ukaribu au kucheka na binti waishio nao huku yupo mke wake
11. Mume kutomtazama mkeo usoni mkiwa chumbani.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.