Breaking News

GSM YAMWAGWA PESA YANGA SC

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union leo umewahakikishia wachezaji kitita cha Tsh Milioni 10 kutoka kwa kampuni ya GSM.

Kampuni hiyo iliahidi kutoa kiasi hicho cha fedha kwa wachezaji sharti likiwa lazima washinde mechi dhidi ya Coastal Union.

Inaelezwa utaratibu huo utaendelea kwa michezo yote ili kuwapa motisha wachezaji kuhakikisha Yanga inafanya vizuri.

Kitita hicho kilikuwepo uwanjani ambapo wachezaji walikabidhiwa baada ya mchezo huo.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.