KIBARUA CHA UNAI MASHAKANI
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kibarua cha kocha wa Arsenal, Unai Emery, kipo matatani baada ya mabosi wa timu hiyo kumtaka ahakikishe timu inarudi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Huu ni mwaka wa tatu mfululizo kwa Arsenal kushindwa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, hivyo wameamua kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati huu kuboresha kikosi hicho, ili waweze kurudi kwenye michuano hiyo mikubwa barani Ulaya.
Kwa mara ya pili mfululizo Arsenal inashiriki michuano ya Kombe la Euro baada ya kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku mashabiki na uongozi wakiwa na kiu ya kutaka kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.