MATOKEO YA YANGA SC VS COASTAL UNION
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Klabu ya Yanga SC imepata ushindi wake wa kwanza katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Coastal Union 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee leo, kiungo Abdulaziz Makame ‘Bui’ katika dakika ya 51 akimalizia kwa kichwa pasi ya kichwa beki Ally Hamad Ally kufuatia kona ya kiungo mshambuliaji, Mrisho Khalfan Ngassa.
Hata hivyo, wachezaji wa Coastal Union walimlalamikia refa Abubabar Mturo wa Mtwara wakidai mpira uliokolewa kabla ya kuvuka mstari wa goli.
Hata hivyo, utata ulisababishwa na msaidizi namba mbili wa refa, Credo Mbuya aliyenyoosha kibendera kuashiria wachezaji wa Yanga wameotea, wakati kulikuwa kuna mlinzi wa Coastal Union ndani ya lango.
Ikicheza kwa mara ya pili mfululizo bila kocha wake Mkuu, Mwinyi Zahera raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) anayetumikia adhabu ya kufungiwa na Bodi ya Ligi, Yanga SC leo kidogo ilijitahidi kumiliki mpira na kutengeneza nafasi zaidi, japo walitumia hiyo moja tu.
Mshambuliaji Mkongo, David Molinga ‘Falcao’ aliyefunga mabao mawili katika sare ya 3-3 na Polisi Tanzania kwenye mchezo uliopita leo hakuwa na bahati sawa na Ngassa kutokana na wote kukosa mabao ya wazi.
Ikumbukwe mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Yanga SC ilichapwa 1-0 na Ruvu Shooting hapo hapo Uwanja wa Uhuru na tangu hapo haikushinda tena hadi leo, ikitoa sare ya 1-1 na kufungwa 2-1 na Zesco United katika Ligi ya Mabingwa, kabla ya
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.