MWANARIADHA KIPCHOGE AWEKA REKODI YA MARATHON
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
MWANARIADHA wa Kenya, Eliud Kipchoge, amekuwa binadamu wa kwanza kukimbia mbio ndefu (marathon) kwa kutumia muda wa saa 1 dakika 59 na sekunde 40 katika mashindano INEOS yaliyofanyika huko Vienna Jumamosi iliyopita.
Amekuwa ni binadamu wa kwanza kukimbia mbio hizo kwa kutumia muda ambao ni chini ya masaa mawili.
Kipchoge mwenye umri wa miaka 34 ameingia katika Kitabu cha Rekodi cha Guiness japokuwa ushindi huo hautatambliwa na shirikisho la kimataifa la riadha — IAAF.