Breaking News

VIDEO: JPM AMMWAGIA SIFA NAPE “NINGEMPA BINTI YANGU”

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwa kazi nzuri anayoifanya jimboni kwake pamoja na kushirikiana vyema na Serikali.

Magufuli amemmwagia sifa hizo nape wakati alipopita jimboni kwa Mbunge huyo akiwa njiani kuelekea Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya ziara ya kikazi.

“Nawathibitishia Wananchi wa Mtama Nape nimemsamehe ni kijana wangu na ni Kijana mzuri sana shirikianeni nae, Nape nampenda sana ni bahati mbaya ameoa huku angekuwa hajaoa ningempa hata Binti yangu, kwanza ningepata mbegu nzuri ya Mtoto mrefumrefu hivi.

“Nawashukuru kwa kumchagua kijana wangu Nape Nnauye, ni mchapakazi, alifanya vimakosa kidogo kidogo lakini mimi nimeshamsamehe moja kwa moja.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.