VIDEO: STARS YAWASILI SALAMA KHARTOUM, KAULI YA ERASTO NYONI KABLA YA KUPINDUA MEZA OCTOBER 18
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars tayari imewasili Khartoum Sudan kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020 dhidi ya Sudan, utakaochezwa keshokutwa October 18 2019, huku ikiwa inahitaji kupindua matokeo.
Baada ya mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam kupoteza kwa bao 1-0, hivyo Tanzania kama inahitaji kusonga mbele itahitaji ushindi wa walau mabao 2 na kuendelea.
Kuelekea mchezo huo nahodha nambari tatu wa timu hiyo Erasto Nyoni amethibitisha kuwa wamewasili salama na hakuna mchezaji yoyote ambaye ana majeruhi yeye pamoja na wachezaji wenzake wanaomba sapoti ya dua kutoka kwa watanzania.