ASHTAKIWA KWA KUMNAJISI MTOTO WA MIAKA SITA
Mkazi wa Umbuji, Zanzibar, Maulid Abdallah (29) amefikishwa Mahakama ya Mkoa ya Mwera kujibu mashtaka mawili ya kumtorsha na kumuingilia kinyume na maumbile Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita.
Mshtakiwa amerejeshwa rumande kwa kile kilichoelezwa kosa hilo halina dhamana na kesi itaendelea tena December 02, 2019.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE
