BOTI MPYA YA KISASA YA KILIMANJARO VII YAWASILI ZANZIBAR
Boti mpya ya Kilimanjaro VII inayomilikiwa na Bakhresa Group chini ya Azam Marine na ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu imewasili leo kutoka kiwandani Australia.
Kwa mujibu wa kampuni ya Azam Marine, boti hiyo inafanyiwa ukaguzi na kukamilisha taratibu nyingine za kimamlaka kabla ya kutangazwa muda wa kuanza huduma zake.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE
