DIAMOND ATAJA SIKU YA KUACHIA NYIMBO YAKE ALIYOMSHIRIKISHA WIZKID
Staa huyo wa wimbo ‘Baba Lao’ kupitia Instagram akieleza kuwa ataaachia kolabo hiyo atakapokuwa mjini *Douala *Kamerun kwenye tamasha la muziki la Njeiforbi litakalofanyika 22 Novemba
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE
