KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION
Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Coastal Union FC, Mchezo wa kirafiki leo Jumapili saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.
1:Farouk Shikalo
2:Juma Abdul
3'Jaffary Mohamed
4:Moustafa Seleman
5:Ally Mtoni Sonso
6:Papy Tshishimbi
7:Said Mussa Bakari
8:Raphael Daudi Loth
9:David Molinga Falcao
10:Sadney Urikobh
11:Mapinduzi Balama
Wachezaji wa akiba
1:Ramadhan Kabwili
2:Mharami Issa Marcelo
3:Cleofas Sospeter
4:Said Juma Makapu
5:Adam (U20)
6:Mrisho Ngassa
7:Juma Balinya
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE