MOISE KATUMBI AULA FIFA
Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameteuliwa kuwa makamu wa rais wa Shirikisho la Soka la Vilabu Ulimwenguni (WFCA) || World Football Club Association
Kufuatia kupitishwa kwa mashindano mapya ya Kombe la Dunia la Vilabu #FIFAClubWorldCup, ambayo yatafanyika nchini China mwaka2021.
Vilabu kutoka katika mabara sita vilikusanyika katika makao makuu ya FIFA kule Zurich kujadili mashindano haya mpya.
Klabu zilizoshiriki katika mkutano huu pia ziliamua kuunda Chama au Shirikisho la Vilabu vya Soka Duniani (WFCA).
Kati yao ni Raisi wa TP Mazembe, Moses Katumbi ambaye ameteuliwa kuwa makamu wa Raisi wa Chama icho.
Lengo la kwanza la shirikisho ili ni kuhakikisha kuwa Kombe la Dunia la Vilabu liwe tukio kubwa ambalo mashabiki ulimwenguni kote wanaweza kutazama, pia uwepo wa mechi kali na timu bora zinazoshindania taji ili pekee la Dunia ngazi ya Vilabu.
Kwa kuongezea, WFCA pia itakuwa njia ya vilabu kusuluhisha matatizo na kuwa na ubadilishanaji mzuri wa mawazo na Shirikisho la soka Duniani (FIFA).
Aidha Rais wa Real Madrid, Florentino PEREZ, ametajwa kuwa rais wa chama hicho.
📍 Wanachama waanzilishi wa WFCA:
● AC Milan (Italy - Europe)
● Auckland City FC (New Zealand - Oceania)
● Boca Juniors (Argentina - South America)
● River Plate (Argentina - South America)
● Club America (Mexico - North America)
● Guangzhou Evergrande FC (China - Asia)
● Real Madrid (Spain - Europe)
● TP Mazembe (DR Congo - Africa)
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE