MSIMAMO WA SAMATTA BAADA YA TUHUMA ZA KUTOFANYA VIZURI TIMU YA TAIFA
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta ametumia ukurasa wake wa twitter kueleza msimamo wake, baada ya kupokea comments mbalimbali za mashabiki na wadau wa soka nchini Tanzania wakimtuhumu kuwa hajacheza vizuri kwenye timu ya Taifa ya Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Libya, ambapo Tanzania ilipoteza mchezo huo kwa mabao 2-1.
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Samatta ameandika kuwa
“Nimepata meseji na comment kutoka kwa watu kadhaa kuwa awajaelewa kiwango nilichoonesha ktk mechi za timu ya taifa, anyway ukweli nimefurahi kuona watu wanasema ukweli sichukulii binafsi bali nachukulia km chachu itakayonifanya nijitume zaidi ili niweze Bora zaidi akamalizia ba HAINA KUFELI”
Tunisia wao wameendeleza kuongoza katika msimamo wa Kundi J wakiwa na pointi 6, Libya point 3(head to head) dhidi ya Tanzania inambeba na Tanzania nafasi ya 3 wakiwa na pointi 3 huku Equatorial Guinea wakiwa wa mwisho kwa kwa kutokuwa na pointi hata moja.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE