Breaking News

SAMATTA ACHUANA NA AKINA MO SALAH, MANE, AUBA NA MAHREZ TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA, KAGERE, OKWI WAWEKWA CHUNGU KIMOJA, ‘LIST’ KAMILI HII HAPA

Nahodha wa #TaifaStars anayesakata kabumbu katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2019.

Katika orodha hiyo iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) wamo pia Mohamed Salah wa Misri (Liverpool), Piere-Emerick Aubameyang wa Gabon (Arsenal), Sadio Mane wa Senegal (Liverpool) na Riyad Mahrez wa Algeria (Manchester City). Sherehe za tuzo hizo zitafanyika Januari 7, 2020 nchini Misri.

ORODHA KAMILI
Katika kipengele cha mchezaji bora wa mwaka ambako Mtanzania Mbwana Samatta yumo, orodha kamili hii hapa.

1. Achraf Hakimi - Morocco & Borussia Dortmund.
2. André Onana - Cameroon & Ajax
3. Baghdad Bounedjah – Algeria & Al-Sadd.
4. Carolus Andriamatsinoro - Madagascar & Al Adalah.
5. Denis Onyango - Uganda & Mamelodi Sundowns.
6. Eric Maxim Choupo Moting - Cameroon & PSG.
7. Ferjani Sassi - Tunisia & Zamalek.
8. Hakim Ziyech - Morocco & Ajax.
9. Idrissa Gueye - Senegal & Paris Saint-Germain.
10. Ismail Bennacer - Algeria & AC Milan.
11. Jordan Ayew - Ghana & Crystal Palace
12. Kalidou Koulibaly - Senegal & Napoli.
13. Kodjo Fo Doh Laba - Togo & Al Ain.
14. Mahmoud Hassan"Trezeguet" - Egypt & Aston Villa.
15. Mbwana Samatta - Tanzania & Genk.
16. Mohamed Salah - Egypt & Liverpool.
17. Moussa Marega - Mali & Porto.
18. Naby Keita - Guinea & Liverpool.
19. Nicolas Pepe - Côte d'Ivoire & Arsenal.
20. Odion Ighalo - Nigeria & Shanghai Shenhua.
21. Percy Tau - South Africa & Club Brugge.
22. Pierre-Emerick Aubameyang - Gabon & Arsenal.
23. Riyad Mahrez - Algeria & Manchester City.
24. Sadio Mane - Senegal & Liverpool.
25. Taha Yassine Khenissi - Tunisia & Esperance.
26. Thomas Teye Partey - Ghana & Atlético Madrid.
27. Victor Osimhen - Nigeria & Lille.
28. Wilfred Ndidi - Nigeria & Leicester City.
29. Wilfried Zaha - Côte d'Ivoire & Crystal Palace.
30. Youcef Belaili - Algeria & Ahli Jeddah.

Tazama hapa chini kufahamu wanaowania tuzo hizo katika vipengele vingine ikiwemo mchezaji bora wa kike, mchezaji bora kijana, kocha bora wa timu za wanaume, kocha bora wa timu ya wanawake  n.k.





UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE