Breaking News

VIDEO: AFICHA KADI 23 ZA ATM SEHEMU ZA SIRI, JPM AWASHTUKIA WANAOMLILIA

Adaiwa kuficha kadi 23 za ATM sehemu za siri, JPM awashtukia wanao mlilia, Utata waliomchukulia fomu Mbowe kugombea uenyekiti, Daktari akamatwa chooni tuhuma ya rushwa ya ngono kwa mjamzito, Mwingine ajitoa kesi ya ukomo wa uraisi, Asimulia alivyotaka kuwakimbia mapacha wanne  njiti hospitalini,… 
Bofya hapa kujua Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Novemba 23, 2019.

UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE