Breaking News

VIDEO: ALIKIBA KUKUTANA USO KWA USO NA RC MWANRI

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amezungumza na Wandishi wa habari kuhusu kuwepo kwa mbio za riadha TABORA GREEN MARATHON zitakazofanyika Novemba 30 zenye lengo la kuhamasisha zoezi la upandaji miti ambapo Msanii Alikiba atashiriki mbio hizo.
“Kuna kipindi nilikuwa na kimuhemuhe hapa nikaleta kombe kubwa kama simtank na hatujaanza kulitumia unajua binadamu hakuumbwa kila muda akakamae kuna muda anatakiwa apumzike anacheza bao afanye jogging kidogo” RC Mwanri
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE