Breaking News

VIDEO: MRISHO MPOTO AMVALISHA KANGA BINTI ANNA ALIYEFIWA NA WAZAZI WAKE WAWILI

Msanii wa Muziki wa Asili Mrisho Mpoto Jumapili hii aliitembelea familia ya binti Anna aliyepoteza wazazi wake wawili pamoja na wadogo wake watatu kwaajili ya kutoa pole kwa wafiwa pamoja na kuzungumza mambo machache binti huyo aliyehitimu kidato cha nne siku za karibuni.
Katika hatua za kumpatia pole, Mrisho alimvalisha kanga binti huyo na kumwambia kwa sasa anatakiwa akaze buti kwenye kusoma kwani yeye ndio tegemeo.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE