Breaking News

VIDEO: UTACHEKA: John Cena baada ya kuambiwa aimbie ‘John Cena’ ya Sho Madjozi

Ni Headlines za mcheza mieleka ambae kwasasa vichwa vya habari vimerudi huko Marekani baada ya msanii wa Afrika Kusini aitwae Sho Madjozi kutumia jina lake katika wimbo wake uitwao John Cena.
Sasa utacheka pale ambapo John Cena alipofika katika kipindi cha Strahan Sara and Keke huko Marekani na kuambiwa aimbie wimbo huo wa msanii wa Afrika Kusini itazame hii video hapa
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE