VIDEO: MCHAMBUZI ABBAS APIRA ACHAMBUA A-Z KILICHOMUANGUSHA AUSSEMS
Mchambuzi wa soka nchini Abbas Pira ametoa ufafanuzi wa namna ya sababu ambazo zimepelekea kutimuliwa kazi kwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussem ‘Uchebe’ huku akizitaja mechi hizi tatu kama ndizo zilizomponza.