KISA POMBE MKE AMUUA MUMEWE, POLISI WAMDAKA
Polisi Mkoani Rukwa wanamshikilia Mwanamke mmoja (52) Mkazi wa Kijiji cha Kaengesa, Sumbawanga kwa madai ya kumuua Mumewe Satiruni Sapo(58) kwa kipigo akimtuhumu kunywea pombe fedha walizokuwa wametunza ili zitumike kupalilia shamba.
"Alitumia kipande cha mti kumpiga akaumia na kukimbizwa Hospitali lakini akafariki wakati anapatiwa matibabu, Mtuhumiwa amekiri kosa wakati tunamuhoji na atafikishwa Mahakamani"- Justine Masejo, RPC Rukwa
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE