Breaking News

EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA ATAJA TIMU ANAYOSHABIKIA – VIDEO

MTANGAZAJI wa kituo  Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema wanavutiwa na uwezo wake — wengine wakisema ni shabiki wa Simba ama  Yanga — amefanya mahojiano na Global TV Online akafunguka mambo mbalimbali juu ya maisha yake kwenye utangazaji na kudokeza kwamba ni shabiki wa timu ya Tukuyu Stars ya Mbeya.

Ili kuelewa mambo mengi aliyofunguka, fungua video hapa chini.