VIRGIL VAN DIJK ANG’ARA TUZO ZA UEFA, MESSI AAMBULIA MOJA, RONALDO ATOKA KAPA
Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi na beki wa Liverpool, Virgil van Dijk wameng’ara kwenye usiku wa ugawaji wa tuzo za Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) za msimu wa 2018/19 .
Kwenye tuzo hizo, Messi ameibuka na tuzo ya mshambuliaji bora barani Ulaya, huku kiungo wa Barcelona, De Jong akiibuka na tuzo ya kiungo bora.
Naye, Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk amechukua tuzo ya mchezaji bora barani Ulaya kwa msimu wa 2018/19 na Beki bora barani Ulaya akiwamwaga Lionel Messi na Ronaldo.
Na hapa chini ndio makundi ya UEFA kwa msimu huu 2019/2020 .
Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Mapenzi na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Siasa na Burudani.