Breaking News

AZAM FC YAIFUATA TRIANGLE UNITED FC

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE


 Klabu ya Azam FC imekwea pipa leo Jumapili kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Triangle United FC.

Msafara wa leo umeongozwa na Kocha Msaidizi Idd Cheche akiwa na baadhi ya wachezaji ambao hawakuitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa September 28 katika jiji la Bulawayo nchini humo.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Azam ilikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wageni hao.

Ili Azam FC iweze kusonga mbele ni lazima ishinde mchezo huo kwa mabao zaidi ya mawili.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.