Breaking News

NYOTA YA SAMATTA YAZIDI KUNG'ARA UBELGIJI, APEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE


Mtanzania anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ublegiji jana alikabidhiwa kitambaa cha unahodha walipocheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Oostende.

Katika mchezo huo Genk ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ikiwa uwanja wake wa nyumbani.

Katika mchezo huo, Samatta hakubahatika kuliona lango kwa maana hakuweza kufunga bao.

Baada ya mchezo huo, Genk itakuwa na kibarua cha Belgian CUP dhidi ya KSK Ronse Jumanne ya wiki ijayo.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.