Breaking News

HII HAPA DROO YA 16 BORA CARABAO CUP

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Baada ya kumalizika kwa mechi za raundi ya tatu michuano ya Carabao Cup, droo ya raundi ya nne ambayo ni 16 bora imepigwa usiku wa kuamkia leo ambapo wababe wa Premier League wamekutanishwa.

Wababe hao ni Liverpool ambao watakutana na Arsenal huku Manchester United wakipelekwa mikononi mwa Chelsea. .

Tazama hapa chini ratiba kamili.
👉Everton vs Watford
👉Aston Villa vs Wolverhampton Wanders
👉Manchester City vs Southampton
👉Crawley vs Colchester
👉Chelsea vs Manchester United
👉Oxford vs Sunderland
👉Liverpool vs Arsenal
👉Burton vs Leicester City

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.