TANZIA: DILUNGA AFARIKI DUNIA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Marehemu Abasi Dilunga (Kushoto) enzi za uwahi wake, akiwa na mwanaye, Said ,mchezaji wa Ruvu Shooting.
Mchezaji wa zamani wa Klbu ya Simba SC, na timu ya Taifa ya Tanzania, mzazi wa mchezaji wa Klabu ya Ruvu Shooting Said Dilunga, mzee Abasi Dilunga, amefariki ghafla usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake, Chanika Jijini Dar Es salaam, ulipo msiba.
Abasi Dilunga, enzi zake akicheza timu ya Taifa, aliwahi kuchaguliwa kuunda kikosi bora cha Afrika akiwa mchezaji pekee kutoka timu ya Taifa ya Tanzania, hii ni baada ya kucheza dakika chache akitokea benchi wakati timu yetu ya Taifa ikicheza na timu ya Taifa ya Nigeria, mjini Lagos.
Mazishi ya shujaa huyu, yatafanyika leo, saa 10.00 jioni, Kisarawe, mkoani Pwani.
Marehemu ameacha Wajane Wanne na Watoto 13.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.