MABASI MATANO KUPELEKA MASHABIKI ZAMBIA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema mabasi matano yanaelekea Zambia na mashabiki wa timu hiyo kuongeza nguvu katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United ambao utapigwa Jumamosi.
Afisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema mabasi mengine yataanzia safari Mbeya na Tunduma.
Mashabiki zaidi ya 300 wanahusika kwenye msafara huo ambao unatarajiwa kuwasili nchini Zambia kesho Alhamisi.
Nugaz amesema ari ya timu iko juu, hamasa ya mashabiki ni kubwa na wana matumaini kuwa wanakwenda Zambia 'kuvunja mwiko' kwa kuifunga Zesco United kwenye uwanja wake wa nyumbani.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.