Breaking News

PICHA: MASHABIKI YANGA WAIFUATA YANGA ZAMBIA

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE


Msafara wa mashabiki wa Yanga kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Zambia tayari uko njiani ambapo utaungana na msafara mwingine wa mashabiki ambao wataianzia safari Mbeya mjini na Tunduma.

Mabasi matano yanapeleka mashabiki Ndola Zambia ambako ndiko mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa kati ya Zesco dhidi ya Yanga utapigwa.

Uwepo wa mashabiki wa Yanga uwanjani hapo Jumamosi utaongeza ari ya wachezaji na kutafuta matokeo chanya kwa maslahi ya Klabu, Wanayanga na nchini kwa ujumla.



Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.