SIMBA YAIFUATA KAGERA SUGAR
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba umeondoka asubuhi ya leo Jumatano September ya 25 kuelekea mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar.
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi kwenye uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Manispaa.
Simba imetumia usafiri wa ndege kuifuata Kagera Sugar.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.