YANGA YAJICHIMBIA LUSAKA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kikosi cha Yanga tayari kipo Zambia kuwakabili Zesco United kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba katika Mji wa Ndola.
Yanga imefikia jijini Lusaka ambapo inaelezwa itaweka kambi yake hapo kabla ya kuelekea Ndola umbali wa takribani kilomita 316.
Mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji ushindi wa aina yoyote au hata sare ya mabao 2-2 Jumamosi ili kutinga hatua ya makundi.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.