Breaking News

TAKUKURU WATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewataka wananchi kuepukana na vishawishi vya rushwa ili kuwachagua viongozi.

Hayo yamebainishwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig.Gen John Mbungo ambapo amesema wanaendelea kuimarisha mbinu za uchunguzi wa makosa ya rushwa katika uchaguzi ujao.

“Ni dhamira ya TAKUKURU kuona kwamba umakini wa kuchagua viongozi waadilifu, wazalendo na wasiojihusisha na vitendo vya rushwa,”

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.