VIDEO: STEVE NYERERE NA JB WAFUNGUKA USHINDI WA TAIFA STARS
Steve Nyerere na JB wamefunguka baada ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuibuka na ushindi dhidi ya Burundi na kufanikiwa kufuzu kwenye hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar 2022.
Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Michezo, Magazeti, Mahusiano, Elimu, Ajira, Video, Audios, Tamthilia na Udaku.